Imeandikwa na Ally Mandai. Simba SC imeendelea kuonyesha makali katika mwanzo wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2026/2027 baada ya kuibuka na ushindi wa…
Imeandikwa na Ally Mandai. Mnyama, Simba SC imeendeleza mwanzo mzuri wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya S…
Kamati ya bodi ya ligi pia imezikumbusha timu zote kuzingatia kikamilifu kanuni ya 20 inayohusu matumizi ya Teknolojia ya Football Video Support …
Imeandikwa na Ally Mandai. Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027 imeendelea leo Alhamisi, Agosti 20, 2026, kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja …
Na Ally Mandai. Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeendelea leo Jumatano kwa michezo mitatu kuchezwa katika viwanja tofauti nchini, huku Simba SC ikiib…
Kiungo wa Hispania Rodrigo Hernández maarufu kama "Rodri" amepokelewa kwa ujumbe wa kumkaribisha FC Barcelona, huku maneno ya “Benvingut…
Na Ally Mandai. Klabu ya Simba SC imeanza vyema kampeni yake ya kusaka taji la Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao…
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga SC, Peter Shalulile, ameanza vibaya na kwa kishindo maisha yake mapya ndani ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27,…
Yanga SC imeifunga Simba SC kwa bao 1-0 na kutwaa Ngao ya Jamii 2026 katika mchezo uliochezwa usiku huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar…
Mwamuzi Ahmed Arajiga ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati katika mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kuwakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga, kes…
Mshambuliaji wa Yanga Selemani Mwalimu ‘Gomes’ amewasili Zanzibar kujiunga na kikosi cha Yanga.Mwalimu amewasili Unguja leo mchana, akiwa amevalia m…
📍 *FARIS BURUHANI :Ameandika,,,,,👇👇👇 Moja ya kazi ngumu niliyowahi kukutana nayo tangu nimevikwa koti hili la kuwaongoza Vijana wa Kagera ni hii…
Simba SC imemaliza Simba Day 2026 kwa matokeo ya kushtukiza baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Kenya Police FC katika mchezo wa kirafiki wa kima…
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) ya Tanzania imepangiwa kucheza dhidi ya Gaborone United S.C ya Botswana katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabing…
Klabu ya Simba SC ya Tanzania imepangiwa kucheza dhidi ya Mighty Wanderers FC ya Malawi katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champ…
Na Ally Mandai. Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally , ameendelea kuongeza hamasa kuelekea tamasha la Simba Day…
Na Moshi saidi, DAR ES SALAAM. Kampuni ya Roby One Pharmacy imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuinua mchezo wa ndondi nchini baada ya kuwazawad…
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile baada ya kukamilisha Uhamisho wake kutoka Mamelodi Sundown…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla,amesema taarifa inayosambaa ikimtaja kuwa ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Simba SC si halali, …
Wanachama wa Klabu ya Yanga wamewaamini tena Injinia Hersi Said na Arafat Haji kwa kuwachagua kuendelea kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi kingine cha …
Social Plugin