Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji Hussein Semfuko kutoka Coastal Union ya jijini Tanga kwa mkataba wa miaka mitatu.
Semfuko
ana umri wa miaka 21 huku akiwa na uwezo mkubwa sana wa kukaba timu
inapopoteza mpira ameonyesha hivyo akiwa na Coastal na sasa ni mali ya
Simba.
Unaupa asilimia ngapi usajili huu?
Tags
Michezo