RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA WANASHERIA TANGANYIKA-TLS

Rais wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.






Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form