Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shin…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China zakubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini ili kui…
Hali ya taharuki imeibuka katika kituo cha mafuta kilichopo Kihonda Viwandani, Manispaa ya Morogoro, baada ya dereva wa lori, Feisal Jabir, mwenye …
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imebaini uwepo wa taarifa za uongo zinazotengenezwa kwa sura ya taarifa rasmi na kusambazwa mitandaoni ziki…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Sabatho Malima Emmanuel , mwenye umri wa miaka 32 na mkazi wa Buswelu, Wilaya ya Ilemela, kwa tuhuma z…
Zaidi ya watu 10 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya moto mkubwa kuzuka wakati wa sherehe ya harusi katika Manispaa ya Lingwala, j…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi , ameitisha kikao na kampuni za simu nchini ikiwemo Vodacom, Airtel, Yas, Halotel na TTCL , kuja…
Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza hatua za kiutawala zichukuliwe dhidi ya raia wa kigeni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo na uchuuzi nchini…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewataka viongozi wa makundi mbalimbali kufika katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini …
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zitakazoanza kutumika kuanzia J…
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George Mcheche Masaju, amesema vitendo vya kuidharau na kuitisha Mahakama havitavumiliwa wala kupewa nafasi, akisisitiz…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid …
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 01, 2026, anaondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia ku…
Mkazi wa Kitongoji cha Katabradik, Kata ya Dareda wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, Emmanuel Qamara, anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 65 n…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katik…
Wananchi wa Guinea-Bissau wanapiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya inayopendekezwa, ambayo inalenga kuongeza mamlaka ya rais na kubadilisha mfumo w…
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi na kufanya mabadiliko kadhaa katika ngazi za juu za jeshi, kulingana na vyombo…
Uzinduzi wa huduma hii unakuja kama suluhisho mbadala la kuondoa usumbufu na hatari zinazotokana na usafirishaji wa mafuta kwenye madumu, pamoja me …
Kwa mara ya kwanza, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefanikiwa kumfanyia upasuaji wa moyo bila kufungua kifua mtoto mwenye umri wa siku mb…
Uwekezaji wa shilingi bilioni 16 uliofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika ununuzi wa pampu mpya nane …
Social Plugin