Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania, Young Africans Sc wamethibitisha kumsajili winga Offen Chikola (26) raia wa Tanzania kutoka Tabora United.
Yanga Sc wamethibitisha usajili huo kupitia taarifa yao fupi kwenye mitandao ya kijamii iliyosema: “Left Footer Magician @offenchikola is now Green & Yellow” yaani Mchawi wa guu la kushoto ni Offen Chikola ni wa Kijani na Njano”