Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili beki wa kati Rushine De Reuck (29) raia wa Afrika Kusini kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Mamelodi Sundowns ya Nchini kwao.
Simba Sc imesema uzoefu wa De Reuck raia wa Afrika Kusini kimataifa ni sifa moja wapo walioitazama kama kipaumbele.
