Hiki hapa kikosi rasmi cha Simba SC kitakachopambania nembo ya klabu hiyo kwa msimu ujao wa kimashindano 2025-26 kimetambulishwa kwenye tamasha Simba day siku ya jana mbele ya nyomi kubwa la mashabiki kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Tags
Michezo
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more