Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Abdulnasir Mohamed almaarufu Casemiro kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mlandege
Nyota huyo ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora kijana wa msimu wa 2024-25 katika tuzo za Farafa Zanzibar alikuwa akiwaniwa pia na Azam Fc, JKT Tanzania na Singida Black Stars.
Tags
Michezo