Klabu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhi ya Al Zulf ambayo inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Saud Arabia
Kwenye mchezo huo wa kirafiki goli la Simba limefungwa na Jean Charles Ahoua, Al Zulf msimu uliopita ilishika nafasi ya 9 kwenye msimamo wenye timu 17.
Tags
Michezo