SIMBA SC YAWASILI MISRI KUANZA KAMBI YA PRE-SEASON

 Vigogo wa Soka la Tanzania, @simbasctanzania imewasili nchini Misri katika mji wa Ismailia ambako ndiko watakapo fanya maandalizi ya msimu ujao 2025/2026.

Simba ambao walikwea pipa asubuhi ya leo tarehe 30 Julai 2025 wataanza maandalizi yao jijini Ismailia pamoja na kucheza mechi za kirafiki ili kujipima na baadhi ya timu za nchini Misri.









Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form