SAMATTA ATAMBULISHWA RASMI LE HAVRE YA LIGI KUU UFARANSA

 Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta @samagoal77 ametambulishwa rasmi kwenye klabu ya Le Havre inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa akitokea katika klabu ya Paok ya ligi kuu nchini Ugiriki.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form