PACOME AONGEZA MIAKA MIWILI KUITUMIKIA YANGA HADI 2027

 Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua ataendelea kusalia klabuni hapo kwa msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027.


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form