Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Boyeli raia wa Congo DRC kutoka katika klabu ya Sekhukhune United Inayoshiriki ligi kuu kuu nchini Afrika ya kusini.
Msimu uliopita akiwa na Sekhukhune Boyeli amefunga mabao 6 katika michezo 25 ya ligi kuu Afrika ya kusini (PSL).
Tags
Michezo