YANGA SC YAMTAMBULISHA CÉLESTIN ECUA,MVP WA IVORY COAST

 Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha mshambuliajii Célestin Ecua (23) raia wa Ivory Coast kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea Zoman Fc ya Nchini kwao.

Akiwa na Zoman Fc msimu uliopita Ecua alifunga magoli 15 na kusaidia 'assists' mengine 12 kwenye michuano yote huku akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu (MVP)



Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form