GWAJIMA APIGWA CHINI UBUNGE JIMBO LA KAWE,SABABU ZATAJWA
byDarasa Huru-
Aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ameachwa kwenye uteuzi
wa wagombea wa Jimbo la Kawe katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa
kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu wa
Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla ambapo amewataja
jumla ya wagombea nane kuwania jimbo hilo.