Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vyema mashindano ya kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2024 baada ya kuilaza Burkina Faso 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa.
Tanzania ipo Kundi B la michuano hiyo sambamba na Mauritania, Madagascar, Jamhuri ya Afrika ya kati na Burkina Faso.
FT: Tanzania 🇹🇿 2-0 🇧🇫 Burkina Faso
⚽ 45+3’ Sopu
⚽ 71' Zimbwe Jr
Tags
Michezo