Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa.
TUPE BIASHARA YAKO IWAFIKIE MAELFU YA WATEJA KWA ELFU TANO TU PIGA 0654414804.
Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg. Ado Shaibu Ado, kikao hicho kimehudhuriwa pia na Katibu wa Oganaizesheni Shaweji Mketo, Katibu Kiongozi wa Baraza Kivuli Idrisa Kweweta na Naibu Mwenezi Shangwe Ayo.
Kikao hicho kimefanyika Jimboni Ilemela, Mwanza jana Septemba 10, 2026.

0 Comments