DIESEL MPAKA MLANGONI! USAMBAZAJI MPYA WA MAFUTA YENYE UHAKIKA DAR ES SALAAM

 Uzinduzi wa huduma hii unakuja kama suluhisho mbadala la kuondoa usumbufu na hatari zinazotokana na usafirishaji wa mafuta kwenye madumu, pamoja me kuondokana na changamoto ya mashine au vyombo vya usafiri kuishiwa mafuta vikiwa kazini au njiani.

Tofauti na mfumo wa kawaida, matumizi ya magari madogo ya usambazaji yanaiwezesha kampuni hiyo kufikia kwa urahisi maeneo yenye mitaa myembamba pamoja na maeneo ya ujenzi ambayo ni vigumu kwa magari makubwa ya mafuta (tankers) kupita. Huduma hii inalenga kuhudumia magari madogo na makubwa, jenereta za viwandani na maofisini, taasisi kama shule na hospitali, pamoja na makambi na maeneo ya ujenzi (sites).

Ili kupata huduma hii, wateja wanatakiwa kuwasiliana na kampuni hiyo kwa njia ya simu na kufikishiwa mafuta moja kwa moja mahali walipo.Mawasiliano: 0679128405.

SULUHISHO LA MAFUTA YA DIESEL DAR ES SALAAM

Je, una changamoto ya kufikisha mafuta ya diesel kwenye eneo lako la kazi, jenereta, au chombo chako cha usafiri? Kampuni ya Juma Puga Transportation inakuletea huduma ya kusambaza na kujaza mafuta ya Diesel mahali ulipo, kwa haraka, usalama, na urahisi zaidi!

Ondokana na usumbufu wa kubeba mafuta kwenye madumu au hatari ya kuishiwa nishati njiani na kwenye mashine muhimu. Magari yetu madogo yana uwezo wa kufika hata maeneo yenye mitaa myembamba na sites za ujenzi ambazo tankers kubwa haziwezi kupita.

Maeneo Yanayofikiwa na Huduma Hii:

  • Usafirishaji: Magari madogo na makubwa

  • Nishati ya Dharura: Generator za viwandani na maofisini

  • Taasisi: Mashule na Hospitali

  • Kazi za Nje: Makambi (camps) na maeneo ya ujenzi (sites)

Jinsi ya Kupata Huduma: Piga simu tu na mafuta yatakufikia mahali ulipo bila kuchelewa!

  • Huduma: Diesel Transportation & Delivery

  • Mahali: Dar es Salaam na Vitongoji Vyake

  • Mawasiliano: 0679128405

Juma Puga Transportation — Hakika ya Nishati Popote Ulipo!


 

Post a Comment

0 Comments