Rais mstaafu Mhe.Jakaya mrisho Kikwete ni miongoni mwa Viongozi mashuhuri waliohudhuria shughuli ya kitaifa ya mazishi ya aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Kenya hayati Raila Odinga katika uwanja wa Nyayo Nairobi nchini humo leo oktoba 17 2025.
Tags
Habari


