RIDHIWANI KIKWETE MGOMBEA PEKEE CHALINZE

 Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimemteua Mgombea mmoja kugombea Ubunge Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani ambaye ni Ridhiwani Kikwete.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza jina hilo leo July 29,2025 ambapo amesema Ridhiwani pekee ndiye aliyechukua fomu Chalinze na amerudisha yeye pekee.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form