MAMA SALMA KIKWETE MGOMBEA PEKEE MCHINGA

 Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mgombea mmoja kugombea Ubunge Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi ambaye ni Mama Salima Kikwete.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza jina hilo leo July 29,2025 ambapo amesema Mama Salma ndiye Mgombea pekee aliyechukua fomu katika Jimbo la Mchinga.


 

 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form