NDAYISHIMIYE AWAONYA WARUNDI WANAOTAFUTA SULUHU NJE YA NCHI

Rais Evariste Ndayishimiye amewanyoshea kidole raia wa Burundi wanaokwenda nje ya nchi kutafuta suluhu ya matatizo yao kana kwamba nchini kwao hakuna uongozi.

Alisema: “Mburundi yeyote ambaye ana tatizo nchini na kwenda kutafuta suluhu nje ya nchi, Mrundi huyo hajui uhuru ni nini.

Bila kusita, Rais Ndayishimiye aliwanyooshea vidole walioshindwa katika uchaguzi uliopita wa Wabunge na Manispaa kwa kugeukia Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika kutafuta msaada.

Mwishoni mwa juma lililopita, Wapinzani wa kisiasa walioikimbia Burundi waliungana pamoja wakisema kuwa kwamba wanaenda kupinga udanganyifu uliofanyika katika uchaguzi uliopita.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form