RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA PUTIN

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi, Mhe. Vladimir Putin, uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 06 Novemba, 2025.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form