Mtangazaji Mwijaku jina lake halijafanikiwa kupitishwa kwenye idadi ya watu nane (8)
waliyopitishwa kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo Mvomero
Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more