Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, kimetangaza majina saba ya wanaowania kupitishwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kisesa, Tanzania Bara. Taarifa hiyo imetolewa leo, Julai 28, 2025, jijini Dodoma.
