YANGA SC YAWASILI ZANZIBAR KUKIPIGA NA DODOMA JIJI

 KIKOSI cha klabu ya Yanga SC tayari kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wake wa raundi ya 30 nambari 114 wa ligi kuu kandanda ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji FC,utakaofanyika kwenye uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

Mpaka sasa Yanga SC ndio vinara wa ligi kuu wakiwana jumla ya alama 76 mbele ya alama moja dhidi ya mahasimu wao Simba SC wenye alama 75. Mchezo huo utapigwa keshon Jumapili tarehe 22 Juni.

 






Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form