RAIS SAMIA AKUTANA NA ASKOFU MKUU JIMBO LA TABORA IKULU DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.





Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form