Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Abdulaziz Abood ameshinda kwa kishindo Uchaguzi wa kura za maoni Jimbo la Morogoro Mjini kwa kupata kura 4511 huku Mpizani wake wa karibu Ally Simba akiambulia kura 1886.

Our website uses cookies to improve your experience. Learn more