Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema taarifa kuhusu Balozi Humphrey Polepole zitatolewa na mamlaka husika baada ya kukamilika kwa taratibu za Kisheria kufuatia kujiuzulu kwake Julai 13, 2025 akitaja kutoridhishwa na mwelekeo wa Uongozi.