SIMBA SC YATHIBITISHA KUACHANA NA FABRICE NGOMA,YATOA SABABU HIZI

 Klabu ya Simba SC imeanza utaratibu wake wa kuwaaga wachezaji wake kwa kuwapa "Thank you" baada ya ujtumioshi wao kwenye klabu yao na wameanza na Fabrice Ngoma nyota wa kimataifa wa DR Congo ambaye amehudumu klabuni hapo kwa misimu miwili.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form