RAIS SAMIA AONGEZA MAUZO YA GESI TANZANIA

 Wakati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt @samia_suluhu_hassan anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au

TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%. Hii ni karibia mara mbili ya uzalishaji wa mwaka 2020 na mara tatu ya mauzo ya mwaka 2015 ambayo yalikua ni $45.7milioni, Hiki ni kiashiria kuwa Rais Samia na mpango wake wa "nishati safi kwa wote" umeanza kueleweka kwa Watanzania walio wengi.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form