Kocha wa zamani wa Yanga SC, Miloud Hamdi amejiunga na Ismaily SC ya Egypt kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Kocha Miloud Hamdi anajiunga na Ismaily na makocha wawili wasaidizi Hammadi Saghier Kocha Msaidizi raia wa Belgium na Marouane Silimani Kocha wa viungo (Fitness Coach) kutoka nchini Tunisia.
Ismaily SC inamlipa mshahara mara mbili na aliokuwa anapata Yanga SC, Ismaily SC watamtangaza leo Kocha Miloud Hamdi.
Tags
Michezo