Rais
wa TFF Wallace Karia amesalia kama mgombea pekee kwenye kinyang'anyiro
cha uchaguzi utakao fanyika 16Agosti2025 jijini Tanga.
Kwenye mkutano
na waandishi wa habari mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF amesema
kuwa wagombea wengine wamekosa vigezo vya kugombea kwa mujibu wa kanuni
za uchaguzi.