Klabu ya Azam FC imetangaza kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa Tanzania,Lameck Lawi kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga ikumbukwe kubwa mlinzi huyu alishawahi kusajiliwa na Simba SC kwa msimu uliopita na wakaingia kwenye mgogoro na mchezaji huyo ambaye alitimkia nchini Ubelgiji kwa ajili ya majaribio.
Tags
Michezo