Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu ameongeza ukusanyaji wa kodi kutoka TZS 1.51 trilioni mwaka 2020 mpaka TZS 3.09 trilioni mwaka 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la 104% hivyo kuongeza mapato ya nchi kutoka 24,065,543,000,000 hadi 34,610,646,000,000 kwa mwaka na kuifanya serikali kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo kutoka nje kutoka -2.6% hadi - 3.4%.