MAMY BABY ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE TABORA

 Mtangazaji mkongwe kutoka kituo cha Habari Clouds Radio Mamy Baby leo June 28 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Mkoa wa Tabora kupitia Chama cha mapinduzi CCM.






Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form