JERRY SILAA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE UKONGA

 Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga Mhe. Jerry Silaa leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge awamu pili katika jimbo la Ukonga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).

 






 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form