TANZIA
Umoja wa wazazi wa CCM Mkoa wa DSM unatangaza kifo cha Katibu wa Umoja wa wazazi wa CCM Wilaya ya Ubungo ndugu Antony Gaus Kampendeza Kilichotokea tarehe 24.08.2025 majira ya jioni leo DSM.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.