Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemtembelea na kumjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar , ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Ndg. Abdallah Juma Abdallah Sadala (Mabodi), aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamin William Mkapa, Dodoma tarehe 22 Agosti 2025.