Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, akizungumza na Watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika mkoa huo leo Julai 18, 2025 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dodoma.

Our website uses cookies to improve your experience. Learn more