MBAGALA TUKAE MKAO WA KUFURAHI

 Tayari mabasi ya mwendokasi zaidi ya 200 yakiwa tayari kabla ya kuanza kusafirishwa kuja nchini Tanzania kuanza kutoa huduma kwenye barabara ya Gerezani - Mbagala jijini Dar es Salaam.

Mabasi hayo ambayo yanatumia mfumo wa gesi yanamilikiwa na kampuni ya kizalendo ya MOFAT ambayo imepewa mkataba wa miaka 12 na DART.







Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form