MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU NA VIONGOZI WENGINE WAKIWASILI IKULU DODOMA KWENYE KIKAO CHA MWISHO CHA MAWAZIRI

 Mawaziri, Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wengine wakiwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025.










Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form