Kikosi cha klabu ya Simba SC tayari kimeshawasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano ya kombe la NMB Mapinduzi Cup 2026 ambapo wanatarajiwa kucheza siku ya Jumamosi dhidi ya Muembe Makumbi.
Bingwa wa michuano hii atajibebea kiasi cha shilingi milioni 150 huku mshindi wa pili atakabidhiwa kiasi cha shilingi milioni 100.








0 Comments