KIUNGO WA ZAMANI YANGA SC AFIWA NA MWANAE WA KIUME

Na Ally Mandai 

Mchezaji raia wa Burkinafaso na Kiungo wa zamani wa Young Africans Stephane Aziz KI ambaye kwasasa anakipiga katika klabu ya Wydad amefiwa na mwanae wa kiume.

Aziz anatarajia kuondoka kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Burkina Faso kwaajili ya msiba huo uliotokea leo. 
 
Klabu yake WYDAD AC imethibitisha kuwa kiungo wao Stephane Aziz KI amefiwa na mwanae.

Mungu ampe nguvu Aziz kwenye kipindi hiki kigumu.


 

Post a Comment

0 Comments