Rais Mstaafu Jakaya Dkt. Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) akiteta jambo na Dkt Hamad bin Abdulaziz Al Kawari ambaye ni Waziri wa Nchi na Naibu Waziri Mkuu wa Qatar akiteta jambo na Rais Mstaafu Dkt. Kikwete. Pembeni yao ni Balozi Habib Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar.
Mapema, Dkt. Kikwete alishiriki mjadala katika Mkutano 23 wa Kimataifa wa Doha pamoja na Rais John Dramani Mahama wa Ghana, Khalifa Jassim Al Kuwari, Mkurugenzi Mkuu wa Qatar Fund for Development na , Achim Steiner, Msimamizi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) mjini Doha, Qatar.


0 Comments