Na Ally Mandai
TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imetoshana nguvu na Uganda The Cranes kwa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 katika dimba la dimba la Al Barid, Rabat huku Simon Happygod Msuva akifikia rekodi ya Mrisho Ngassa kama Mfungaji bora wa muda wote wa Taifa Stars (magoli 25 kila mmoja)
Allan Okello alikosa mkwaju wa penalti na kuikosesha The Cranes ushindi muhimu kwenye mchezo huo wa Kundi C wa ‘Derby’ ya Afrika Mashariki.
FT: Uganda 🇺🇬 1-1 🇹🇿 Tanzania
⚽ 54’ Msuva (P)
❌ 89’ Okello (P)
⚽ 80’ Ikpeazu
MSIMAMO KUNDI C
1. 🇹🇳 Tunisia 3Pts
2. 🇳🇬 Nigeria 3Pts
3. 🇹🇿 Tanzania 1Pt
4. 🇺🇬 Uganda 1Pt

.jpeg)

0 Comments