KWANINI KABURI LA MOBUTU SESESEKO LIPO MOROCCO?

Kama ulikua hulijui KABURI LA MOBUTU SESESEKO wacha nikufahamishe""
    Unacho kiona hapo chini siyo nyumba ya kuishi mtu,
     Hilo ni kaburi la rais wa muda mrefu wa JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO,
     Muheshimwa MOBUTU SESESEKO KUKUBENGU WAZABANGA,
    Kaburi hilo halipo nchini CONGO bali lipo nchini MOROCCO.

     KWANINI LIPO MOROCCO?

    MOBUTU baada ya kupinduliwa na LAURENT KABILA mwezi MAY mwaka 1997,
    MOBUTU SESESEKO alikimbilia nchini MOROCCO,
    Alipofika nchini MOROCCO alikua anaishi katika jiji la RABAT,
    Ilipofika tarehe 7/9/1997 yaani miezi michache tu baada kupinduliwa,
    MOBUTU SESESEKO akafariki dunia hukohuko nchini MOROCCO,
    MOBUTU alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya tezi dume akiwa na miaka 66,
   Baada ya MOBUTU kufariki dunia huko MOROCCO,
    Familia ya MOBUTU ilitaka kuurudisha mwili wa ndugu yao nyumbani,
    Ili azikwe nchini kwake JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO,
    Swala ambalo KABILA alilikataa na kuwaambia familia kuwa,
    Endapo watasubutu kuuleta mwili wa MOBUTU nchini CONGO,
     Familia mzima ya MOBUTU itakamatwa na kuuliwa hadharani, 
    Kufuatia kauli hiyo ya KABILA familia ikashindwa kuuleta mwili wa MOBUTU nyumbani,
    Badala yake MOBUTU akazikwa nchini MOROCO katika jiji la RABAT,
    Na alizikwa siku tatu tu baada kufariki yaani tarehe 10/9/1997,
   Katika makaburi yanayo julikana kama makaburi ya kikristo,
    MOBUTU alizikwa na watu wachache tu tena wote walitoke kwenye familia yake,
    Kwasasa kaburi hilo limekua kama kivutio cha utalii,
    Kwani raia wengi wa CONGO huenda nchini MOROCCO,
    Kwa ajili ya kuliona kaburi hilo la kiongozi wao wazamani,
    Na nchi ya MOROCCO hujipatia pesa nyingi kupitia kaburi hilo,
    Kutokana na MOROCCO kuwaingizia pesa nyingi kaburi hilo,
   Mwaka 2007 wakaamua kulijengea vizuri kabuli hilo,
    Kama unavyoona hapo chini kwani mwanzo lilikua kaburi la kawaida tu,
    Baada ya kulijengengea vizuri mlangoni wakaamua kuandika MSS,
    Wakimaanisha MOBUTU SESESEKO kama unavyoona hapo chini,
    Lakini pia wameiwekea nembo ya taifa la CONGO,
    Nembo ambayo MOBUTU katika utawala wake alikua anaitumia,
    Nembo ambayo kwasasa haitumiki tena nchini CONGO, 
    Angalia vizuri sana kwenye picha hapo chini,
     Ili iwe rahisi kwa wageni kulitambua kaburi hilo,
    MOBUTU siyo baba wa taifa la JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO,
     Lakini ndiye kiongozi maarufu zaidi nchini CONGO,
   Baba wa taifa la CONGO ni muheshimiwa PATRICE LUMUMBA,   
    MOBUTU aliongoza CONGO kuanzia tarehe 24/11/1965,
    Hadi alipopinduliwa mnamo mwezi MAY mwaka 1997,
    Huyu ndiyo kiongozi alie ongoza CONGO muda mrefu zaidi,
    Na ndie kiongozi aliebadili jina la CONGO kuwa ZAIRE,
    Kabla ya kurudishwa tena jina hilo alipoingia KABILA,
   Lakini pia ndiyo rais aliewafanya wakomani wapende kujipodoa na kuvaa vizuri,
    Kwani MOBUTU hayo ndiyo mambo aliokuwa anayapenda,
    Ndiyo maana wakongo wanaongoza duniani kwa kujipodoa hasa wanaume,
    Lakini pia wakongomanini ndiyo watu wanaongoza kwa kupiga pamba kali duniani,
    Ni jambo la kawaida sana kumkuta mkongomani,
    Kapiga pamba kali hata kama hana hela mfukoni na hana kazi maalumu,
    Aliesababisha hayo yote ni MOBUTU SESESEKO.

 

Post a Comment

0 Comments