Na Ally Mandai.
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Nchini Josephati Gwajima hii leo amefika kanisani na kuungana na waumuni wa kanisa hilo katika mkesha wa kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026 ikiwa ni mara ya kwanza kufika kanisani hapo tangu kufunguliwa kwa makanisa hayo ambayo yeye ni kiongozi mkuu.



0 Comments