Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka barani Afrika hasa wale ambao mataifa yao 24 yanashiriki michuano ya Afcon 2025 pale Morocco.
Majira ya Saa 4 kamili usiku kwa saa za kwetu hapa Tanzania tutashuhudia ufunguzi wa mchezo wa kwanza mwaka huu kati ya wenyeji Morocco dhidi ya Comoros.
Je,Comoros wataweza kuwazuia Morocco ambao juzi wametoka kutwaa bingwa wa FIFA Arabs Cup baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Jordan.
Huu ni mchezo wa Kundi A.
Imeandikwa na Ally Mandai..kifuate Facebook kwa kina hilo.



0 Comments