Home
About
Contact
Home
HABARI
MICHEZO
MAGAZETI
MAKALA
__DropDown 3
Home
DKT. MWIGULU AHIMIZA UJENZI BANDARI YA NGONGO MKOANI LINDI
DKT. MWIGULU AHIMIZA UJENZI BANDARI YA NGONGO MKOANI LINDI
Darasa Huru
December 21, 2025
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 21, 2025 amekagua hali ya bandari ya Barazani mkoani Lindi na kuiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania kukamilisha kwa haraka michakato ya awali ya kitaalam ya ujenzi wa mradi wa Bandari ya Ngongo wilayani Lindi mkoani Lindi.
Amesema kukamilika kwa bandari ya Ngongo kutasaidia kuwaondolea adha watumiaji wa bandari inayotumika sasa ya Barazani ambayo hali yake haiendani na mahitaji ya sasa.
Dkt. Mwigulu ameongeza kuwa kukamilika kwa ujenzi wa bandari ya Ngongo kutaleta chachu ya maendeleo mkoani humo kwani bandari ya Lindi imeanza kuchangamkiwa na wafanyabiashara, wakiwemo wa nchi jirani.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
ZILIZOSOMWA ZAIDI
TFF WATOA TAREHE RASMI YA TUZO ZA WACHEZAJI BORA NBC 2024-25
November 14, 2025
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS HIKI HAPA
January 09, 2026
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
RAIS SAMIA AAGIZA VIJANA WALIOFUATA MKUMBO OKTOBA 29 WAACHIWE
November 14, 2025
TUTAZAME YOUTUBE
0 Comments